Bisha uwezavyo ila huu ndo ukweli...

mbona jazba mkuu? hiyo 'cousin' ndio wanavotuita hao watoto wamjini
 
Hivi form six wamemaliza mitihani eeh??..

Ee Mungu peleka muda mbele hawa watoto waende vyuo kusoma tuachane na hizi mada [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
haujalazimishwa kuchangia kwenye huu uzi mkuu, ukiona haukufai achana nao... kwa matusi unayotukana inaonesha we unamtombaga mamaako
 
Bila ya Kuandika & kuongea kingereza hata neno 1 tu hutaonekana kuwa ni msomi, so ndiyo usomi wenyewe kwetu Bongo huo...
 
Moderators inabidi Muongeze button za "hide this Post" maana sasa kumekuwa na taka taka nyingi kama hizi!
Na hizo features mpya ndo zinaninyima uhuru wa kufungua jf mbel za watu,Maana kuna baadhi ya mipicha inakuwa kinyaa hata kuiangalia tu.

Tafadhalini mods sikieni kiliochangu

Ccinvisible,moderators
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…