Birthplace of George W, Bush

Well, a truly blue state, lakini apology ya nini?
 
thanks for sharing a photo-altered image in JF.
 
* Mkuu hiyo picha ni Fake (Photoshoped)....the real picture of the Road Sign hii hapa chini....

Halafu sio vizuri kuanzisha thread ya Fake Pictures zilizotupwa mtandaoni mwaka 2005 (wakati Kikwete anaingia madarakani)....we unatuletea mwaka 2015 (wakati CCM inapokufa kifo cha mende)

​

Another example za hizi fake pictures ni hii hapa chini ilikuwa photoshoped kuonyesha kuwa Bill Clinton ni sex offender...​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…