Ni kweli ungekuwa na hela ungefanya kitu kinachokupendeza.
Ila hapo ndo inapokuja tofauti ,wakati Birdman kinachompendeza ni ku*ya kwenye gold,billgates na Rockfella wao kinachowapendeza ni kudonate hela zao kwa mirad ya afya dunia nzima.
Na hicho ndicho kinachotufanya baadhi yetu tuone kuwa huo ni ushamba tu.
Ni kweli ungekuwa na hela ungefanya kitu kinachokupendeza.
Ila hapo ndo inapokuja tofauti ,wakati Birdman kinachompendeza ni ku*ya kwenye gold,billgates na Rockfella wao kinachowapendeza ni kudonate hela zao kwa mirad ya afya dunia nzima.
Na hicho ndicho kinachotufanya baadhi yetu tuone kuwa huo ni ushamba tu.
kila mtu mwenye pesa kuna kitu cha ajabu aliwahi fanya, nakumbuka mwaka juzi gates alinunenua diary inayodaiwa ilikuwa ya ronaldi da vinci kwa kiasi cha USD 35 milions.
Nani kakwambia kwamba Birdman hajawahi kudonate hela kwenye miradi yeyote?!
Au mpaka na yeye aanzishe mfuko kama bilgate?,kwani hawezi kudonate hela hata kupitia kwenye hizo taasisi nyingine au hujui kwamba hzo taasisi huwa zina-rise funds?!
Kwamba asifanye anayoyapenda kisa wewe maskini umemkalia kooni na kumpangia matumizi ya PESA ZAKE
Au hujui kwamba hao wakina william gates nao kuna vitu wanamiliki vinathamani zaidi ya hicho choo?
Pump your brakes and let a black man use his hard earned money
Watu na maisha yao
The fact kwamba nimeona choo chake na kusikia habari za choo chake na sijasikia habari za contribution yake kwenye international community inatosha kabisa kujudge nikivyomjudge.
Niushamba tu.na ulimbuken ,ila i think ni matokeo ya slavery mindset.
Baada ya muda utasikia kafilisika huo ndio ulimbukeni wa ngozi nyeusi,matumizi yasiyo ya msingi ndio ufahari waoCash Money Records co-founder &Hip Hop tycoon Bryan Williams,aka Birdman showed off his solid gold toilet on his instagram page yesterday.
Check out
- Whiz Khalifa and his son all blinged up According to reports, the toilet is gold-plated, but the seat and the cover is solid gold and it cost $1million.
Money speaking...
Ya kat deluna ama hiyo rmx?
"Nlikuwepo":bolt:
Aaa ni almasi
ngoja akusikie, ataenda kusema kwa dai shauri yako au humjui h.o.d unamfananisha bosi wake na kinyec