kama ni mtundu(fundi), fungua pc, kwenye motherboard tafuta IC yenye maneno aya (mx 2534 au winbond 35242) , iyo ni bios chip (eeprom) inayotunza bios password, kuna njia ya kuiflash (electrical erasing-ipo kitabe zaidi) ila ku save mda unaitoa na kupachika IC nyingine (isiyo na password)
Bei zake zinagonga 30k ivi, nenda machinga complex block la kushoto ukitoka ilala boma, floor ya 3 kama sijakosea