Biomedical Equipment Engineering

Kuna dogo langu amechaguliwa ana wasiwasi kama ajira zipo maana aliniuliza ila mimi sijawahi ona hata secretariat ya ajira ikitangaza kazi zake!! Watu wana ajiriwa kweli course hiyo?? Usipo ajiriwa serekalini wapi unaweza pata ajira kwingine?

Kwa sasa wanapomaliza kozi wanapangwa direct kwenye mahospital bila kusubiri kuapply kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…