Richiethegemini
Member
- Oct 31, 2017
- 64
- 32
Hii ni fani adimu yenye ajira serikalini na private nje nje halafu ukiwa na mtaji kidogo tu fungua ofisi uanze kula pesa za serikali na private/NGOs kiulaini wapende wasipende watakuja tu
Brother swala la àjira asikudanganye mtu humu eti utapiga hela sijui àjira zipo nje nje Mambo ni tofauti kidogoHello brothers en Sisters!
Nimechaguliwa MUST course ni Diploma in Biomedical Equipment engineering nashukuru maana ndio niliyoichagua na ninaipenda kutoka moyoni.
Swali langu, Je ajira zake ziko vipi hapa Tanzania.
Ahsanteni
Labda useme ufungue ofisi,,Ila kuhusu kuajiriwa naona bado mwaka juzi wizara ya afya na telamisemi walitoa nafasi Ila kwa sasa hàkuna hawatoi hizo nafasi ,labda kwa badae maana hata chief engineer wa biomedical sijui wanafanya kazi gani wizarani uko Kuna hospital kibao tz hii hazina technicians mavifaa yanatupwa stoo tu,ñahisi uelewa bado wa kozi
Mkuu ajira ya fani hiyo ni kubwa sana sana na ukitaka kujua hilo nenda kila Hospital uone vifaa wanavyodai ni vibovu halafu kama una experience kidogo na vifaa hivyo utakuta ni ubovu mdogomdogo tu ambao utagundua kuwa wanaovitumia hawana ujuzi nao na wala hawapendi kujielimisha kwa kusoma maelezo ya kifaa husika, mfano ambao sitakaa niusahau ni pale jamaa zangu walipokuwa wanakula hela ndefu kwa kuchomoa fuse tu halafu wanaita fundi private na wanamtoa Boss pesa wanayotaka kwani ni lazima afanye hivyo la sivyo kazi zinasimama Hospital ya Rufaa! kuhusu kutokuajiriwa na serikali tatizo ni fedha sawa na Dr, C.Os & Nurses wengi tu wapo mtaani sababu jikoni moshi hautoki.
Labda useme ufungue ofisi,,Ila kuhusu kuajiriwa naona bado mwaka juzi wizara ya afya na telamisemi walitoa nafasi Ila kwa sasa hàkuna hawatoi hizo nafasi ,labda kwa badae maana hata chief engineer wa biomedical sijui wanafanya kazi gani wizarani uko Kuna hospital kibao tz hii hazina technicians mavifaa yanatupwa stoo tu,ñahisi uelewa bado wa kozi
Ndo vzr akapate exposure. Nna jamaa mmj Ana bachelor ya Biomedical anapiga pesa kishenzi, ndo Injinia mkuu Bugando wa hivyo vitu japo anatumiwa kanda ya ziwa nzima
Uko kwenye hii field!?
Tuuulize sisi tulioko huku!
Nilipata balehe nikiwa medical student na baada ya hapo nikafanya kazi sio chini ya miaka 35 na muda mwingi nikiwa O.T na ICU..... Mbeya, KCMC na Muhimbili ni mwenyeji kiasi enzi hizo sio leo~!
CHANGAMOTO ZA HII TAALUMA KWA SASA!
1.Makapuni ya vifaa tiba nchini!
Makampuni kama Anudha,Crown,pyramid,KASMEDICS,Bio-care,Pasific,Roche,e.t.c Hawa ndio wadau wa kuu wa vifaa tiba wanasupply vifaa ,wanafanya Installation na wanataka na kutengeneza vifaa iwe ni kazi yao ili biashara iendelee!Makapuni haya hayako tayari kumtrain Wala kutoa spare kwa Bio-Technician wa Hospitali husika! Kwa sababu hiyo vifaa Bio-Techinician anaonekana useless.Mwanzo Walikuwa wanahitajika sana Sasa baada ya wakuu wa Hospitali na vituo vya afya kuwa hitaji na serikali ikawapa ajira na baadaye wakaonekana hakuna lolote na hivyo gharama na hasara ina baki kuwa paleplale.
2.Uwezo wa ufundi mdogo,/Lack of enough skills from the training centre
3.Kutokuwepo kwa maduka ya electronics yenye spare za vifaa vya tiba!Kifaa kikiharibika kinahitajika spare ambayo huwezi kuipata kirahisi hapa Tanzania
4.Uongozi wa mbovu na dhaifu
5.Training zinazo tolewa hasa na nchi ya Korea kupewa wasio na sifa hasa mafundi walio soma veta na waliosoma Telecomunicaton na Electrical
Mkuu tupo hapa Muhimbili nasoma Hii Biomedical Engineering, unatetesi zozote kuhusu hili? Tusije kua tuna teseka na hii Anatomy bure tu.
Baada ya kuonekana kunachangamoto sana kwenye Bio-Medical Technicians yakatolewa mapendekezo ianzishwe Bachelor na iwe kwenye trusted centre with well skilled lecturers !
Challenges zitakuwepo kwenu Lakini mtakuta zimeshapungua sana!
Nyie mtakuwa vizuri zaidi kwa sababu Madhaifu yamesha julikana na yanafanyiwa kazi!
Kazi msuli mkuu ,Mambo mazuri yanakuja huko mbele!
Maelezo yako yameniridhisha sana,swali langu bro nimeona arusha tec wanatoa diploma ya eletrical and biomedical Engineering, na diploma ya biomedical engineering, ipi ni nzuri zaidi,otofauti wake uko wapi?? Kama ungepewa wasaa wakumshauri kijana ungemshauri akasome ipi kati ya course hizo hapo mbili??Nimefanya Bachelor of Engineering in Medical Electronics Engineering ,India nimefanya kazi kama Bio-Medical Engineer kwa miaka mitatu ,nimekuwa member wa Association of Medical Engineering and Technician(AMETT) nimeshiriki seminar na vikao vya Federation of Health Engineering East Africa ,Tanzania kwa mara ya kwanza ili host mwaka 2012 November (Green View hostel)
Niliamua kurudi shule na kufanya Medicine nikamaliza .
Kwenye hii field ninajua In and out kuliko wewe!Nina jua qualified Bio-Medical Engineers karibu nchi nzima,
Ninajua wapi kama nchi tumeshindwa ,ninajua weakness zote
Maelezo yako yameniridhisha sana,swali langu bro nimeona arusha tec wanatoa diploma ya eletrical and biomedical Engineering, na diploma ya biomedical engineering, ipi ni nzuri zaidi,otofauti wake uko wapi?? Kama ungepewa wasaa wakumshauri kijana ungemshauri akasome ipi kati ya course hizo hapo mbili??
Je matumaini ya ajira au kujiari kwenye hiyo fani ni madogo sana kiasi hicho ?
Asante kwa ushauri wako..nimekuelewa sana na dhani ukisoma electrical&biomedical ukai master vizuri ukawa competent hufi njaa hata usipo ajiriwaHakuna utofauti lakini wale wa ARUSHA TECH ambayo Ni Diploma /Bachelor in Electrical and Biomedical Engineering hii ni nzuri sana kwasababu kadhaa!
Kuna wakati issue za kutengeneza vifaa tiba (Bio-Medical Equipment ) zina kupa headache na challenge nyingi sana hasa za kutopatikana kws spare kwa wakati kwahiyo Ukiona mi inguo na Engineering iko damuni ina switch kwenye umeme!
Sababu ya pili ni ajira!Una uwanja mpana wa ajira unaweza kuajiliwa kama Bio-Medical Engineer au kama Electrical Engineer tofauti na yule aliye soma Electrical tu au Biomenical Engineering plan.
Unauwezo kubadilisha mazingira ya ajira ,unaweza kuwa hospitalini,TANESCO au Medical Equipment company
Nimemaliza Arusha tech mwaka juzi hiyo kozi ni electrical and biomedical engineering usichanganye mafailiMaelezo yako yameniridhisha sana,swali langu bro nimeona arusha tec wanatoa diploma ya eletrical and biomedical Engineering, na diploma ya biomedical engineering, ipi ni nzuri zaidi,otofauti wake uko wapi?? Kama ungepewa wasaa wakumshauri kijana ungemshauri akasome ipi kati ya course hizo hapo mbili??