Kama wewe ni mtoto wa mkulima..
Kama wewe baba ako sio kada wa chama..
Kama wewe huna koneksheni..
Na kama wewe unaishi Tz..
Nakushauri kaa mbali na hiyo kozi!!
Ila kama unataka kusomea engineering.. kasome moja wapo kati ya hizi..
1. Civil engineering.
2. Electrical
3. Mechanical
NB: Hizo kozi mpya ni mzuri lakini ni risky, bado nawakumbuka watu wa petrolium engineering na telecom!!