Biomedical engineering vs instrumental engineering vs innovation engineering

mapendo daima

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
11
Reaction score
20
Habarini za majukumu wadau!

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika fani ya biomedical engineering. Lakini kutokana na upepo wa nchi unavyikwenda nilikuwa nafikilia kubadilisha hii kozi na nisome innovation engineering katika branch ya quality and innovation in project management.

Sababu kubwa ya kuwaza kufanya ivyo ni kuongeza nafasi ya kujiajili .tatizo nililonalo ni kuwa muda mwingi sijaludi tz so nashindwa kufanya uchambuzi yakinifu juu ya izo kozi ili kujua uwezo wa kujiajili uko vp na utakuwa vp katika miaka 10 ijayo.

So naomba kujuzwa hali ikoje kwa kozi izo hapo juu kwa maana ya innovation engineering,instrumentation engineering na biomedical engineering.
 
Je Vifaa vinavyotumika huko kwa sasa ambavyo wewe unavitumia huku kwetu hivyo vimeshafika? Kuna uwezekano wa kutofautiana kwa technology kati ya huku na huko
 
Principal ya machine ni moja kama ni machine ya usingizi ndo ile ile uende malekani uende Kenya urudi Tanzania wanachofanya wana boresha kidogo tu lakini principal haibadiliki
 
Huu uandishi wako.... Dah.. Ndalichako ana kazi kubwa.... Na wewe unasoma St. Joseph???
 
na hapa sio mahali pake nenda jf education au jf gadjet
 
Fanya instrumentational ....industry ya oil and gas inakuwa kwa haraka bongo unahitajika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…