Biology and chemistry teacher is available

Biology and chemistry teacher is available

M4C DAIMA

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
23
Reaction score
1
nimehitim chuo kikuu kwa sasa npo dar hatakama ni mkoan npo tayari ila lazima tukubaliane kwanza:contact 0682883703
 
agraduate these year contact 0682883703

Ndugu maelezo yako hayajitoshelezi.
  • Mfano: ungependekeza mikoa ambayo upo tayari kwenda kufundisha
  • Au ungesema unapatikana wapi, ili kutoa urahisi kwa atakaye kuhitaji
  • Mwisho tupende lugha yetu ya kiswahili. Maana hapo kwenye Red inatoa picha kidogo ya mapungufu katika matumizi ya lugha hii ya wenyewe.
Ok Nakutakia kila jema.
Karibu
 
feza boys walikua wametoa nafas ya kaz kwa mwalm wa chemistry kajaribu
 
agraduate these year contact 0682883703


Hahahahahahaha kijana wa bavicha hutapata mteja kwa sababu mbili:
1. Hiyo lugha uliyoandika hapo haieleweki
2. Jina lako linaogopesha, mtu anaweza kumleta mtoto wake humfundishe halafu ukaamua kugoma katikakati ya kozi au ukamuacha uende kwenye maandamano!!!
 
hapana mkuu jina sio tatizo wakati wa kazi ni kazi na harakati baadaye sana, nikutoe hofu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom