Nina degree ya Bsc.Biology from UDOM, natafuta mahali popote pa kuvolunteer, msaada wenu tafadhali great thinkers
Shida yenu mnasomaga bora kupata digiriii mkimaliza hamjui wapi pakwenda
Yaani unataka ku volunteer tu...? Duh..!! Na Biology ni pana sana, kuanzia kupasua na kufyonza mende hadi kucheza kiduku na simblisi. Ebu dadavua kidogo major ni nini na then tunaweza kukushauri...
Mwema anaweza kuwa anatafuta voluntia wa kufukia watu au kuwapulizia fomaldaidi kule mabepwande 🙂
Shida yenu mnasomaga bora kupata digiriii mkimaliza hamjui wapi pakwenda
Specific kwenye issues za ecology, zoology, botany or environments