Biochemist J.Watson na Bw.Lowassa!

Bahati mbaya saana nimekulia kitaaluma katika maabara aliyofanyia kazi Watson, Pale Cambridge university Na kuudhuria saana kwenye baa ambayo walikaa Na mwenzie baada ya kukugundia winding structure of DNA. Achana Na hayo. Nauli hii ilimfanya Watson afukuzwe kazi huko marekani. Mawazo haya hayana ukweli,tofauti ya waafrika in sub-saharan Africa Na ulaya/USA Ni mazingira tunayokulia,environment plays significant role in shaping our IQ. Unaweza kuwa Na IQ kubwa saana ila mazingira unayokulia yakaathiri uwezo wako e.g. Poor nutrition. Watson alisahau haya akafikiri kwamba IQ is a function of DNA but the environment counts alot. Unapochukua vitu karibu kuwa mwangalifu, elimu ya vyuo vikuu vya kata lazima iongezewe Na kusoma saana
 
we baba ako hana masters ya science na kakuzaa na kukulea
 
Jimmy watson hana imani iyo,ila alijenga hypothesis ambayo haiko proven kitu ambacho ni kawaida kwenye science.na sio watu wa afrika ila ni watu weusi,na akaenda mbali kuongeza kwamba tutakua tunajihusisha na ngono zaidi kutokana na pathway ya kutengezwa melanin pigments inavyohusiana na androgens.

But aliomba msamaha na ameuza nobel yake aliyoipata ili aweze kujirudisha kwa jamii. Hii sio imani mkuu, muelewe jimmy na usaidie yy kurudi kwenye jamii.
 
Ninaomba leo hospitali zote leo zisifungwe kuna watu hawaamini kilichotokea mda huu.Hata mimi sina jinsi nitakufuata popote Lowassa.
 
Sifa kuu ya mwanaume wa shoka ni kutokukata tamaa.
 
mkuu, kumwamsha mlalamacho ni kazi ngumu sana, naweza kusema hivi wengine wasikuchoshe yako ya msingi ya kujadili maana niliwahi kusema ni heri vipofu wa macho kuliko wa ubongo. LOWASSA ANAWAWEWESESHA
 

Kwahiyo wewe unasema ni uongo kwa kuwa umefika kwenye baa na maabara alipokuwa Dr.watson au una ushahidi mwingine kupinga madai ya Dr.watson?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…