Kama Bw.Lowasa akifanikiwa kweli kukisambaratisha Chama na nchi kwa ujumla basi nitaamini kabisa ile Imani iliyojengwa na Dunia nje ya Bara la Afrika ya kwamba sisi watu wa Afrika (kusini mwa Sahara) tuna IQ ndogo sana kulingansiha na wengine .
(rejea maneno ya J.Watson Biochemist) kwa maana ukimuangalia Bw.Lowasa huyu ni simple mind tu, amesomea sanaa Chuo kikuu cha DSM na vikozi vya kuunga unga huko Uingereza hivyo anawezaje hata kuwa na uwezo wa kuitetemesha nchi wakati hata hayupo kwenye madaraka (kama ni kweli yanayosemwa kama siyo propaganda tu)?
Nasubiri kwa hamu hili linalosemwa kutokea, bado siamini ya kwamba mtu mmoja Bw.lowasa anaweza kuiangusha hii nchi, nchi iliyotoka mbali na kufika mbali kwamba inaweza tu kuja kutetemeshwa na mwana sanaa mmoja kutoka Kishumundu, kama Lowassa angekuwa A.Babu hapo ningeelewa au Salim A.Salim au hata Kambona (,,Apumzike kwa Amani")

Moi aliikamata Kenya kwa miaka ishirini na ushee wakati ni darasa la nane.
Idd Amin aliikamata Uganda hata darasa la tatu hakufika
Kabila wa DRC alisomea Mbeya Lutengano akafeli mtihani wa NACTE
Sheikh Karume hakua na degree achilia mbali ya usanii
Jacob Zuma anayetawala uchumi mkubwa Afrika ni drs la nne. Nchi yake ni ya kwanza kufanya heart transplant duniani.
Muamar Ghadafi aliyewaletea wananchi wake maendeleo makubwa mpaka nyumba, matibabu na elimu bure alisoma chuo gani ?
John Major aliyekua Pinda wa uingereza juzi juzi hapa hakua na degree achilia mbali na ya usanii. Uingereza ni nchi ya dunia ya kwanza.
Mijitu mingine inasoma kijitabu kimoja cha Shigongo inajiona imesoma. BURE KABISA