Binti yamemharibikia

Hakuna kinachonikera kama mabinti wanaoshikwa na kushindwa kushikamana, hivi huwa wanaakili gani, sijui kama kichwani huwa kuna ubongo au maji tu ndo yamejaa. jitu linapewa pesa zote hizo linashindwa hata kuuza mawigi au vipodozi vyao hivyo wanavyotumiaga au kununua walau kiwanja tu ama kweli kwenye miti hapana wajenzi hapo hamna namna akafie mbele hukooo
 
Wapo wengi tu wenye stress hizo wala asichanganyikiwe akadhan yupo peke yake aliyekumbwa na dhoruba hiyo
 
Hako kabint ka miaka ya 90's....Hawa wa sasa sijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…