Binti wa Rais Mstaafu Msumbiji Apigwa Risasi hadi Kufa

Miaka 36 sio binti ni madam au lady
--Mawazo yangu yalinipeleka mtoto wa rais Joaquim Chissano
--RIP Valentina, Mungu ailaze roho ya marehem peponi.
 
Kosa kubwa lilikuwa kuchagua mchumba, pesa mbele! Huwezi ukajua ni nani ameamua 'kuota pembe' mpaka kumtisha mwenzie, wanasema hiyo harusi yao kuhudhiriwa na watu 1700 ikiwemo wababe kama zuma na muswati..
 
Maskini Armando Guebuza muandishi mzuri sana wa mashairi.

Kwa watanzania waliosomea Language Advanced level umekua chachu ya ufaulu wao sababu wengi wao walitumia mashairi yako katika kujibu mitihani.

Umepoteza binti yako mpwendwa Mungu atakutia wepesi

RIP binti wa Armando
Yeah ana shairi lake moja maarufu sana " Mampara M'gaiza"
 
Mtuhumiwa amekiri kufanya mauaji.

Ukioa mwanamke ambae tayari ana mafanikio makubwa sana kimaisha uwe tayari kukubali aina ya maisha yake ya kikazi, khasa safari za kila mara zinazohusiana na kazi yake.

Unaweza kujaribu lakini ukiona mwanzoni unaelekea kushindwa unanyanyua mikono unaendelea na maisha yako kwani hukulazimishwa kumuoa.
 
Maskini Armando Guebuza muandishi mzuri sana wa mashairi.

Kwa watanzania waliosomea Language Advanced level umekua chachu ya ufaulu wao sababu wengi wao walitumia mashairi yako katika kujibu mitihani.

Umepoteza binti yako mpwendwa Mungu atakutia wepesi

RIP binti wa Armando
Kumbe ndo huyu mkuu

Duuh sikuwahi kufikiria kuwa Guebuza ni raisi mstaafu
 
Mtuhumiwa amekiri kufanya mauaji.

Ukioa mwanamke ambae tayari ana mafanikio makubwa sana kimaisha uwe tayari kukubali aina ya maisha yake ya kikazi, khasa safari za kila mara zinazohusiana na kazi yake.

Unaweza kujaribu lakini ukiona mwanzoni unaelekea kushindwa unanyanyua mikono unaendelea na maisha yako kwani hukulazimishwa kumuoa.
unamaanisha mume wake ndio kamuua?
 
Back
Top Bottom