Binti wa Rais Mstaafu Msumbiji Apigwa Risasi hadi Kufa

Binti wa Rais Mstaafu Msumbiji Apigwa Risasi hadi Kufa

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,230
Binti wa rais wa zamani wa Msumbiji Armando Guebuza (alistaafu mwaka 2014 baada ya kutumikia vipindi viwili) amepigwa risasi kadhaa na kufariki akikimbizwa hospitali jana jumatano.

Binti huyo Valentina Guebuza mwenye miaka 36 amekuwa kati ya wanawake wenye impact Africa kutokana na mafanikio yake .

Mume wake anashikiliwa na polisi.

3560b2ad-7b7e-4bf2-8f54-db8de4e6a5f8.jpg



BBC

The daughter of former Mozambique president Armando Guebuza, Valentina Guebuza, is reported to have been shot dead in the capital Maputo.

Her husband, Zofino Muiuane has been arrested by police, the Diario de Noticias newspaper reported.

The shooting is said to have taken place on Wednesday.

Ms Guebuza, who was 36, is said to have been shot several times and died of her wounds on the way to hospital.

Mr Muiuane was arrested in one of Maputo's city squares, the newspaper said.

Ms Guebuza was listed as the seventh most powerful young woman in Africa by Forbes magazine in 2013 and held a strong of positions in telecommunications companies and family businesses, Sapo24 reported.

Mr Muiuane is a businessman who once worked with British American Tobacco.

The couple married in 2014 at a ceremony with 1,700 guests including South Africa leader Jacob Zuma, the King of Swaziland Mswati III and Isabel dos Santos, the daughter of the Angolan president.

They had a daughter last year.

Armando Guebuza stepped down as president in 2014 after serving two terms.

Chanzo: BBC
 
Kwani waliachana na mume wake kabla ya kifo chake? Kwann mume kakamatwa?
 
Maskini Armando Guebuza muandishi mzuri sana wa mashairi.

Kwa watanzania waliosomea Language Advanced level umekua chachu ya ufaulu wao sababu wengi wao walitumia mashairi yako katika kujibu mitihani.

Umepoteza binti yako mpwendwa Mungu atakutia wepesi

RIP binti wa Armando
 
Maskini Armando Guebuza muandishi mzuri sana wa mashairi.

Kwa watanzania waliosomea Language Advanced level umekua chachu ya ufaulu wao sababu wengi wao walitumia mashairi yako katika kujibu mitihani.

Umepoteza binti yako mpwendwa Mungu atakutia wepesi

RIP binti wa Armando

Your pain,
Yet more my pain.
Shall Suffocate Oppression.

Your eyes,
Yet more my eyes,
Will remember the Whip.
------Comrade Guebuza------

May her soul rest in Peace.
 
Nimekuja mbio nikifikiri ni Jesca, looo Mungu pisha mbali nchi nzima isingekalika..Poleni wafiwa.

Badala kusikitika nimejikuta nacheka tu kwa hii post yako......

RIP mrembo!
 
Kosa la Mume ni nini mimi sijaelewa sababu ya kuwekwa ndani RIP binti
 
Bunduki tumeunda wenyewe na roho zinatutoa wenyewe, uhayawani zaid pale unapoitumia vibaya kwa watu wazuri tangulia nasi tunakuja.
 
Ulimwengu huu na walimwengu wamekuwa wakatili na siyo mahala paAmani pakuishii...!!
 
Nimekuja mbio nikifikiri ni Jesca, looo Mungu pisha mbali nchi nzima isingekalika..Poleni wafiwa.
Kuna vitu vingne huwa vinatia HASIRA sana.....sasa mkuu nini hiki ulichoandika hapa JUU???Nyie ndio mnatuharibia JF
 
Wanadamu tumekuwa wanyama hatari sana!
Basi miaka yote ile mi najuaga we ni mwanaume mpaka majuzi niliposoma post zako kwa ukaribu zaidi ndio nikajua wewe ni dem... Niliona kuna mahali uliandika wewe ni mama ntilie ndo nikabak nashangaa... Haya majina haya! Ina maana wazazi wako walikosa kabisa majina ya maana mpaka kukuita CHIKIRA?
 
Back
Top Bottom