Binti wa miaka 11 ajifungua salama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa miaka 11 ajifungua salama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Lao, Feb 27, 2011.

 1. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  WAKATI Serikali ikikuna kichwa kukabiliana na wimbi la mimba kwa wanafunzi, binti mwenye umri wa miaka 11 mkazi wa Ngarananyuki mkoani Kilimanjaro, Nangakwa Lowasa, amejifungua mtoto mwenzie salama nyumbani kwake kwa usaidizi wa wakunga wa jadi.

  Binti huyo kutoka jamii ya Kimasai iliyoko wilayani Siha mkoani hapa, amewashangaza wengi baada ya kujifungua bila kupata tatizo lolote, na kwa sasa anaishi na mume wake aliyejulikana kwa jina moja la Narida, anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35.

  Gazeti hili wiki hii lilizungumza na binti huyo katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Wilaya ya Hai iliyoko Machame alikolazwa baada ya kuugua malaria mara baada ya kujifungua ambapo licha ya kutokwenda shule kabisa katika maisha yake, pia hajui hata lugha ya Kiswahili.

  Kutokana na mazingira aliyokulia, Nangakwa aliyekuwa akizungumza kwa msaada wa mfasiri, haoni tatizo lolote kwa yeye kujifungua mtoto na hata kuwa na mume.

  Binti huyo alisema aliolewa mwaka jana na kwa sasa anaishi na mume wake Narida, na kwamba wakati wa kujifungua, ingawa ilikuwa nyumbani na kwa njia za kienyeji, hakupata tatizo lolote.

  :A S 13: Hii bado ipo bongo?
   
 2. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We unashangaa? Mbona ni kawaida kabisa kwa jamii za wafugaji. Mie nimeshuhudia mara nyingi sana kwa sababu nyumbani kwa wazazi wangu ni sehemu ambayo wafugaji wa kisukuma wako wengi, kwanza kwao ndugu zangu shule hawaendi. na binti kama ni mweupe anachumbiwa akali mdogo sana. Kwa hiyo miaka 11 ni msichana mkubwa tu.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Safi sana, kumbe serikali inatukataza kupata vitu vitamu na vizuri namna hiyo???
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na katoto kenyewe kana mvuto kwelikweli, hebu kaangalie!!!
   

  Attached Files:

Loading...