Binti wa kizenji

Binti wa kizenji

mandi13

Member
Joined
Sep 9, 2018
Posts
29
Reaction score
31
kwanini mabinti wa kizenji niliowahi kuwatokea wanatake long time or even reject your proposal of being together hata kama una lengo zuri tu juu yake? jamani kunani visiwani?.wenye uzoefu watujuze
 
Nimeshatoa bikra tatu za kizenji na sijaoa hata mmoja wao. Wanaswaga zao wale ukipatia utawalamba ssnaaa
 
Mh ila wako poa sijui hata wanapatikaba wapi
 
kwanini mabinti wa kizenji niliowahi kuwatokea wanatake long time or even reject your proposal of being together hata kama una lengo zuri tu juu yake? jamani kunani visiwani?.wenye uzoefu watujuze
Labda Hujawavutia! Kwani ni lazima kila unayemtokea akukubali!?
 
kwanini mabinti wa kizenji niliowahi kuwatokea wanatake long time or even reject your proposal of being together hata kama una lengo zuri tu juu yake? jamani kunani visiwani?.wenye uzoefu watujuze
Inategemea mkuu. Kama unatoka bara nahisi itakuwa ni kaubaguz
 
kuna rafiki yangu ameoa huko zenji. ndo nami nimeinjoy the way they live in marriage. ndo nami nimeshawishika ila ndo ivo kila ninapogusa maringo %. au ndo ubaguzi wenyewe? but hata wenyeji wanasema zenji to be accepted ni long journey.
 
Back
Top Bottom