Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz, siamini

Ukiendelea kutamania vitu ambavyo haviwezi tokea utaishia kuokota makopo
 
Umeanza kuvuta Bangi mwaka gani??...maana hii ni stage moja unapitia kwenda nyingine na pia utakua unakula sana[emoji23]...ukishakua chronic/mbobezi fikra kama hizi zitayeyuka gafla
 
Labda Tanzania ikatwekatwe tuvipande tudogo tudogo,huto tu vipande ndo tutaitwa Tu'Vitz
 
Inna we mzaramo huna connection yeyote mitaa ya mto wa mbuu ama connection na muiraq yeyote.

Nimechoka kupanda mwendokasi
 
Hakikisha kwanza bana tusije kukushauri kumbe k2 chenyew hakijatokea ni mawazo2 kutokana na shida
 
Bangi za Arusha mbaya achana nazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…