Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 Dec 26, 2015 #21 Nenda kanyonye.
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,067 Dec 26, 2015 #22 tozi25 said: Huyu dogo sio bure kavuta bangi na njaa leo mimi nilidhani kala mzigo wa mtoto wa Diwani na kunyanganywa kichinjio kumbe hata kumpigia cm anaogopa mizinga. kwani anakaa Gongolamboto hata uwogope mizinga. Click to expand... aisee gongo la mboto imetoka wap tena huku. m
tozi25 said: Huyu dogo sio bure kavuta bangi na njaa leo mimi nilidhani kala mzigo wa mtoto wa Diwani na kunyanganywa kichinjio kumbe hata kumpigia cm anaogopa mizinga. kwani anakaa Gongolamboto hata uwogope mizinga. Click to expand... aisee gongo la mboto imetoka wap tena huku. m
S structuralist JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,230 Reaction score 910 Dec 26, 2015 #23 Hivi kumbe kuna utaratibu,kalenda na fumula fulani hivi kwenye mahusiano. Yani kupiga simu tu unajipanga namna hiyo duh.....
Hivi kumbe kuna utaratibu,kalenda na fumula fulani hivi kwenye mahusiano. Yani kupiga simu tu unajipanga namna hiyo duh.....
Super human JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,147 Reaction score 752 Dec 27, 2015 #24 duh shule zifunguliwe mapema jamani, af jina analotumia hata halifananii na unachopost umesoma econometrics ndo upo hv??
duh shule zifunguliwe mapema jamani, af jina analotumia hata halifananii na unachopost umesoma econometrics ndo upo hv??