Binti ni mzuri na mrembo

Binti ni mzuri na mrembo

ukitaka skudanganye ili akuambukize?.....kuna watu hata uwaambie ukweli bado watahoji....okay kwa kufupi hana, wewe gonga tu halaf baadae njoo hapa tukushauri jinsi ya kuishi kwa matumaini
Mate yanamdondoka kama fisi aliyeona mzoga hatak kuamini kwamba kitumbua kina mchangaa
 
ukitaka skudanganye ili akuambukize?.....kuna watu hata uwaambie ukweli bado watahoji....okay kwa kufupi hana, wewe gonga tu halaf baadae njoo hapa tukushauri jinsi ya kuishi kwa matumaini
she looks so innocent
....how do i face her today?? swali la msingi
 
Sasa mkuu hauna siri kumbeeee amekuambia usimuambie mtu na amekuambia wewe kwa kuwa anakupenda hatak akuangamizee wewe tena umekujaa kumsemaa hapa umemkoseaaa au unahisi ni tekniki ya kukunyima mdhigoooooo
Sivyo hivo unavodhani . . nimekuja hapa kwa nia njema kabisa
 
sijala.... ila alijua kabisa namtamani....koz mke wangu yuko mkoa mwingine.... nafkiri alikua anantaadhari kwamba.. . nisisahau ndom
kwahiyo unataka kula na ndom?daaa binadamu hatuogopi!!!
 
Back
Top Bottom