Ramsy Dalai Lama
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 213
- 846
Kwa umri wake na hiyo hand writing kweli anastahili.
Anastahili pongeziBinti anayeitwa PRAKRITI MALLA kutoka Nepal ameonyesha umahiri wake katika uandishi wa mwandiko wenye kuvutia sana. Handwriting yake ilichaguliwa kama MWANDIKO BORA katika mashindano ya mwandiko ulimwenguni.View attachment 2315476View attachment 2315477
Yupo vizuri sana...Binti anayeitwa PRAKRITI MALLA kutoka Nepal ameonyesha umahiri wake katika uandishi wa mwandiko wenye kuvutia sana. Handwriting yake ilichaguliwa kama MWANDIKO BORA katika mashindano ya mwandiko ulimwenguni.View attachment 2315476View attachment 2315477
Asante nimempata yusta fb mashallahWeeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,
Kwa uchache tu,
Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)
Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam