Binti mpweke inakuhusu hiii.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti mpweke inakuhusu hiii....

Discussion in 'Love Connect' started by Bisek, Sep 26, 2012.

 1. B

  Bisek Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta binti mchangamfu,mwenye upendo wa kweli..dini na kabila lolote...umri usizidi miaka 35..rangi yoyote mnene wa wastani.Kama una sifa hizi tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano
   
 2. N

  Neylu JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ukimpata usiache kuja kutujulisha Jamvini..!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  sifa zako mkuu
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  jamaa kaniboa kweli.....ngoja nikuPM......
   
 5. s

  sacha Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mmmhh dini yoyote!!!kabila lolote!!!kila la kheri nakuombea!!
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbona wewe huelezi sifa zako mwanangu? Pia uangalie wasijejitokeza "mabinti" wanaofiti wakaishia kuwa wanigeria. Maana siku hizi wamejazana Sinza pale.
   
Loading...