Binti miaka 20 anatafuta kaz

Oooh ulifanya vyema kwenda kijijini huwa kuna test nzuri ya uasilia rafiki.
Hope uli enjoy sana kula vyakula vya asili ukizungukwa na watu wenye upendo wa kweli🤣
Dah kweli wana upendo asee, yani wakati tunaondoka alikuja mdada mmoja anatukimbilia akatoa buku mbili kwenye kanga nikanywe soda...I saw that's love kwakweli alinipa alichokua nacho hakikua zaidi kuna watu Wana upendo wa dhati
 
Aiseee!
Sasa huyo siku mtumie nguo aaah atakubariki hadi ushangae.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…