Binti mchepuko zingatia

michepuko inasoma huu uzi....hahhaahaha....ila wanaume tuko wachache sana jamani.....
 
waume za watu washindwe na walegee hawana uwezo na mamlaka na sisi mabinti ...tena washindwe...mume wa mtu hafai ...tafuta wako ewe mwanamke...achana na hao mibwana watu hawana thamani kwetu wana thaman kwa wake zao...wakimbieni kama ukoma
 
Amina
 
Za kwenye mahusiano labda ila ndoa hapana kwakweli

ah ndio hapo mnapojipaga matumaini yasiokuwepo...wewe kaka huyu mtu kwenye mahusiano alikuwa wakshare unadhani kwenye ndoa atabadilika kisa mnacheti cha ndoa.
 
Ndio, kubadilika kupo! Na ninaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…