Binti mchepuko zingatia

ha hahahaacheni roho mbaya
 
Karma bwana anajua kulipiza. Lakini mabinti tukiwaambia watasikia basiii?

Never let another woman shed tears over the pain you have caused her, and her family for stealing her man.

Never let children suffer for severing ties between their parents.

Walk away from such situations. Its just a matter of time before the prayer you made to God to give you your own man is answered. Hang on there girlie.
 
karma ingekuwa na namna ya kuikwepa wengi tungekwepa ... hatari sana
 
ha hahahaacheni roho mbaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Wala hata c roho mbaya
Unaona chakula kipo hapo
Plau inanukia utamu
Utaachaje kula kwa
Mfano

Na inakuaga tamu

Kamaaa nyama choma ya bar
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Wala hata c roho mbaya
Unaona chakula kipo hapo
Plau inanukia utamu
Utaachaje kula kwa
Mfano

Na inakuaga tamu

Kamaaa nyama choma ya bar
ha hahahhahaa lazima ilike
 
Kwa uelewa wangu mchepuko ni kitu temporary, yaani ka kitu katamu ka siku moja utamu ukizidi sana basi kwa siku mbili, baada ya hapo hako kautamu kanakua nyumba ndogo, i stand to be corrected.
 
Kwa uelewa wangu mchepuko ni kitu temporary, yaani ka kitu katamu ka siku moja utamu ukizidi sana basi kwa siku mbili, baada ya hapo hako kautamu kanakua nyumba ndogo, i stand to be corrected.
real?
 
Hayo yote ni kweli tupu miss wangu
 
Nashukuru kwa kuja kinichana huku japokuwa umesema hunitaji jina. Ila ni kweli kabisa nilisoma alama za nyakati na hasa ukizingatia hali ya sasa ya .........nikaamua kurudi njia kuu kwa sababu hata hamu ya papuchi imeshuka kwa kasi ya hatareeeeee............Ila hata wewe jiandae saasawa
 
Me nijiandae unataka kunitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…