miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
nakubaliana na wewe the boss kwa binti watumie akili la sivyo watapoteza muda mwingi wengine kuishia kuwa masingle parentsHaya mambo ingekuwa tunatumia akili hakuna ambae angelia
tatizo akili huwa haitumiki hapa
ni asuala ya mioyo na macho..
na wote tunajua macho hudanganya na mioyo ina ukichaa
hakuna shetani hapo sababu ni jambo unapanga unanafasi kubwa sana ya kupangua sema ndiyo hivyo tenaUzinzi ni matumizi ya demokrasia katika mapenzi, uzinzi unaanzia kichwani, kisha moyoni kabla hamjavuana pichu kitandani. Lakini wengi wanaishiaga kumlaumu shetani.
mume wa mtu usipoweka moyo hana stress, bata tuHivi unakubalije kuwa mchepuko...tena wa mume wa mtu...mh watu wana mioyoo[emoji23][emoji23][emoji23]yani tupeane zamuu
usipime kirahisi mapenzi ngoja uachike na uone nitakavyo kuwa nakuletea mapozi na dushe langu...uyo dada kutaka kujiua sbbu ya mume wa mtu amekutana na dushe ya dhahabu au, Mungu anisamehe siwezi jiua sbbu ya mwanaume kama mapenzi yameisha acha maisha mengine yaendelee kuna maisha mengine bada ya mapenzi.
ha haha una wanawake wamejichoka kikweli hivi nikae na mume wa mtu mpaka mapenzi yanakuwa jua kali navumilia nini labda? mapenzi mapya yakiisha babu kula kona niacheuyo dada kutaka kujiua sbbu ya mume wa mtu amekutana na dushe ya dhahabu au, Mungu anisamehe siwezi jiua sbbu ya mwanaume kama mapenzi yameisha acha maisha mengine yaendelee kuna maisha mengine bada ya mapenzi.
good choice barikiwaNimechangua A kati ya ABC to mean ABSTAIN from mchepuko..!
ha haha abda pesausipime kirahisi mapenzi ngoja uachike na uone nitakavyo kuwa nakuletea mapozi na dushe langu...
simtaji anaheshimika sanaSikiliza nikuambie wewe Data. Mume Wa mtu kumpenda ni hatari...
Miss usipomtaja jina humu hatojirekebisha... So tutalajie msiba mwingine wa mwana JF
Mmh wenye mioyo yao na muda wa kupoteza....mimi hapana kwakweliimume wa mtu usipoweka moyo hana stress, bata tu
msimamao wako mzuri usibadilikeMmh wenye mioyo yao na muda wa kupoteza....mimi hapana kwakwelii