Kasema hajaolewa yuko single na hana mtoto..hilo ndo swali muhimu kwa Zuhura najua,lakini Binti kiziwi nae yupo single pia et,kwa upande wa magereza ya kule ni tofauti sana na huku,maana kule chumba kimoja"Cell"wanaishi wafungwa kumi na kila mmoja na kitanda chake.na alihukumiwa miaka12 lakini ilishushwa hadi 8 kutokana na nidhamu yake.issue ilikua ni Drugs alikamatwa Nazi Air port Hongkong.Mrejesho?
Swali muhimu kwa binti kiziwi,bado ana mpunga wa kuuza ngada?If yes,i will be happy to have her as my onyenye!Kasema hajaolewa yuko single na hana mtoto..hilo ndo swali muhimu kwa Zuhura najua,lakini Binti kiziwi nae yupo single pia et,kwa upande wa magereza ya kule ni tofauti sana na huku,maana kule chumba kimoja"Cell"wanaishi wafungwa kumi na kila mmoja na kitanda chake.na alihukumiwa miaka12 lakini ilishushwa hadi 8 kutokana na nidhamu yake.issue ilikua ni Drugs alikamatwa Nazi Air port Hongkong.
Ila mpaka anakamatwa alikuwa kashapiga root za kutosha?Au za mwizi arobaini kwake zilikuwa za mwizi moja?Duuh!! Mpunga hana sheikh wangu maana hakufanikiwa kuuza coz mzigo ulishikwa airport ulikua mwilini kaumeza dingii.
Haa 😅😄😃
Yule mkomoro Umry Khery ndiye mstaafu wa DW siyo Zuhura..
Mambo yasiwe mengi..huyo hapoHaa
Supporting Documents Picture Iko Wapi
Achangamke Sasa Apate Wa Kumuoa
Duuh waungwana mnatia huruma daaah
Ila mpaka anakamatwa alikuwa kashapiga root za kutosha?Au za mwizi arobaini kwake zilikuwa za mwizi moja?
Zuhura Yunus ni maamuzi tu,wala sio kwambà hajapata wakumuoa,,wanaume kibao walikua wanatuma texts redioni wanataka kumuoa ila kasema hayuko tayariPole zao hao wasiolewa, wakat sisi wengine tunang'an'aniwa tuolewe japo hairuhusiwi, kweli maisha hayako fair lol uwiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app