Wanatunga hadi wanajidanganya hisia zao wenyewe.
Kuna mmoja naye kule anasema anaskia sauti ya kuwa mfia familia, wenzao zamani walifia dini, yeye anataka kujinyonga ili afe kwa ajili ya familia, sijui kwa faida gani? Na hata hana hela ya kuandaa msiba wake wenyewe, kuwatia tu hasara za wali wa msiba wazazi.
I think I miss you.............
Yote yananichanganya. Lakini hili la kutumia condom ndio linaniua kabisa. Laaaah!
Siku zako zinahesabika ujue!!!!!!!!!:clock:
Brother shikamoo...............
nimefanyaje tena mie
Sasa mkuu utafanyaje mapenzi na mtu bila ya kutumia kinga hata kupima hamjapima?! Duh! Watu wengine ni risk takers hadi kwenye uzima wao! Ila usichanganyikiwe, first things first, go get tested then baada ya hapo mengine yatafuata, after all being infected isn't the end of the world, there are worse things in life.
Inaelekea bro wake ni kicheche sana mpaka anahofia....
Yaani hapa sijazeeka nikakutegemea unakata net je nikiwa mzee si utahama nchi wewe uniache kama sina dada!!!!!!!
hahaa brother sio hivo undugu wetu hauko hivyoooooooo
nimemuuliza sana wii kuhusu kuadimika kwako
aaah hii inakuwa kosa la marehemu hakuvaa condom!Daaah we acha tu!
I think I miss you.............