Ni mrembo wa haja mwenye shepu tamanifu anapendelea kujivinjari mikocheni, kinondoni sinza na mbezi hajakaa kama changu ila shida yake ni moja ukiondoka naye kwena kufanya dhambi, akivua ana jinsia mbili ambazo anadai zote ziko active hivyo hahitaji pesa bali mbanjuane kwa zamu ukishindwa hapo ndio hudai malipo lakini ukweli ni kwamba hana jinsia mbili bali kavaa skin tight inayoendana kabisa na ngozi yake yenye maumbo ya jinsia mbili !!! usiniulize nimejuaje ila ukikutana naye ndio hivyo
hahitaji pesa bali mbanjuane kwa zamu ukishindwa hapo ndio hudai malipo
MMU kijiwe cha porojo...
MMU kijiwe cha porojo...
Eeh, basi wewe leta kashata. watu8 aje na korosho. Nna kahawa ya kuroast ya mgombani inanukia hadi mtaa wa pili!
wewe kiboko yako Nyani Ngabu
Eeh, basi wewe leta kashata. watu8 aje na korosho. Nna kahawa ya kuroast ya mgombani inanukia hadi mtaa wa pili!
Hahahah!!!
Hii kitu umenifanya nikumbuke Arusha kitambo sana...
Kuna mabibi fulani wa Kimeru walikuwa wanauza sana hii makitu karibia na stendi kuu pale karibu na Maota Photo Studio...