View attachment 201193
Wana jamii mwenye ndugu aliyepotea, mida ya mchana binti mwenye picha hapo juu alionekana mitaa ya msasani akiwa ana maumivu makali huku akitokwa na damu km dalili ya kubakwa, binti alionekana km asiye na akili timamu, pia alikuwa akiongea kwa ishara tu. mtoa taarifa aliwakuta wasamalia wema wakijadiliana kuita polisi wa pikipiki kumsadia. Mkononi alikuwa na pesa noti mili za shilingi 500.
jamani.. pole sana
Nahisi ume-comment bila kusoma.., unampa pole mtoa mada au..??! yeye hajapotelewa na 'binti wa kike/kiume'.., actually yeye anauliza kama wewe (au yeyote yule) amepotelewa na 'binti wa kike'.Poleni sana kwa kupotelewa na mpendwa wenu,
ila mkuu MSHINO naomba urekebishe heading yako isiwe "BINTI WA KIKE". Mie ninachojua kuwa binti ni mtu wa jinsia ya kike .
Poleni sana kwa kupotelewa na mpendwa wenu,
ila mkuu MSHINO naomba urekebishe heading yako isiwe "BINTI WA KIKE". Mie ninachojua kuwa binti ni mtu wa jinsia ya kike .
Nahisi ume-comment bila kusoma.., unampa pole mtoa mada au..??! yeye hajapotelewa na 'binti wa kike/kiume'.., actually yeye anauliza kama wewe (au yeyote yule) amepotelewa na 'binti wa kike'.
Ya Raab, msitiri huyu binti mlemavu.
Kwani kuna binti wa kiume?
Nahisi ume-comment bila kusoma.., unampa pole mtoa mada au..??! yeye hajapotelewa na 'binti wa kike/kiume'.., actually yeye anauliza kama wewe (au yeyote yule) amepotelewa na 'binti wa kike'.
Bado hujaelewa. Hatumtafuti Huyo binti, tunatafuta walezi wake, legeza ubongo wako kidogo.Lengo lilikuwa ni kumpa pole pia mleta mda kwani kaguswa na jambo husika na ndio maana kaja kutuleta hapa jukwaani ili tuendelee kumsaka kwa udi na uvumba kila kona ikiwezekana hata kula majani ili mradi huyo binti apatikane, na ndo maana nikaamua kumpa na yeye pole. AU waonaje mkuu Francis
umethibitisha mlemavu?joto la escrow linakuchanganya nini?