Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,190
^^
Huyu ni binti ambaye tumepotezana nae miaka mingi.Lakini milima haikutani,binadamu hukutana..Nilipomuuliza juu ya mwanaume waliyependana sana kuwa wanaendeleaje na familia yao? Nilijibiwa kwa machozi kwanza.Kisha akaanza kunisimulia,,
..
Anasema alimpenda sana rafiki yangu,tena sana.Lakini rafiki yangu aliamua kuondoka kijijini kwao na kwenda kutafuta maisha mjini.Kutokana na upendo mkubwa baina yao mawasiliano ya simu hayakutosha kukidhi ukamilifu baina yao.
Hivyo wote walikubaliana binti atoroke kwao amfuate mpenzi wake mjini.Tatizo lilianzia hapo,,NAULI.
...
Mwanaume akatuma nauli ambayo kusema kweli ilikuwa haitoshi.Kulikuwa na upungufu wa kiasi cha elfu 20. Mwanaume alilijua hilo na binti akamwambia asihofu shangazi yake ambae alijua kiasi gani,wawili hawa wanapendana atamuongezea nauli iliyobaki.Lakini haikuwa hivyo,,shangazi hakuwa nayo!
...
Binti akaona ili kujitoa kwa ampendae akaamua kumchuna kijana aliyemfuatilia kwa muda mrefu ili apate hiyo 20 elfu.Kijana akaona pesa haitoki hivi hivi,,lazima ampe penzi kwanza.Binti akawazaa akaona potelea mbali,akakubali.
Wakakutana gesti,,na pasipo bahati,watu waliojua uhusiano wa wawili hawa wakamjulisha yule kijana wa mjini.
Alipofuatilia akajua ni kweli,ukawa mwisho wa uhusiano wao.
Binti yupo kwao anajutia uamuzi wake,,mwaka wa pili sasa
...
Binti aliniomba msaada nimuombee msamaha kwa rafiki yangu huyo,aliepo mjini lakini kila jaribio langu limekwama.Wote wapo single.
Najiuliza swali,,je sadaka ya upendo wa aina hii,haistahili kusamehewa?