Bint yangu anaugonjwa wa ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bint yangu anaugonjwa wa ajabu

Discussion in 'JF Doctor' started by Mandown, Oct 3, 2012.

 1. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Jumamosi 29/09/2012 nilishtuka kuona mambo ya ajabu nyumbani kwangu, kubwa ni la bint yangu wa miaka 16 ambapo amepatwa na ugonjwa wa kucheka hovyo, sasa imefikia hatua ya kuanguka na kuzirai, akizinduka macho hayaoni kwa muda. Hostpitali hawajagundua ugojwa wowote, manake nilidhani anaumwa malaria. Mke wangu na watu wengine wanadai mambo ya kishirikina ambapo siamini hivo. Jana mke wangu alikuta NGUO YAKE YA NDANI chumbani kwetu, na hakuna anayejua imefikaje huko.
  • Nahisi anaugonjwa haujagundulika hospitali, haiwezekani mtu uzimie halafu ukizinduka macho yakose kuona, wanapima hawaoni kitu wanampa panadol.
  • Nahisi pia anajifanyisha ili asiende shule, lakini hii ni staili ya pekee kumuona hivi, saa nyingine hataki kabisa ka kaa ndani anabaki nje mpaka tumuingize kwa nguvu.
  • majirani wana mshawishi mke wangu kuwa amelogwa..! Sasa amelogwa ananini???? kwanini wachawi wasimloge baharesa, ama mengi eli wamwagiwe mapesa, sie mafukara ndio tunalogana!

  Wadau naomba ushauri
   
 2. Tigga Mumba

  Tigga Mumba JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 747
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Pole sana. Mtoto wa Uncle yangu(mdogo wangu) msichana umri miaka 18(amezaliwa 1994) amepata ugonjwa kama huo miezi miwili iliyopita.

  Anaishiwa nguvu, analegea, anacheka, anakuwa kama Zombie! Inafikia hatua anazimia pia. Hospitali wamesema haumwi chochote.

  Alikuwa form 5, shule hawezi tena kwenda anashinda nyumbani.

  Mara ya kwanza familia iliona ni pressure ambayo wazazi wake walikuwa wanampa. Wazazi walikuwa na ambitions kubwa juu yake na ikaonekana hafaulu vizuri sana.

  Amekaa nyumbani in a very relaxed mode. Juzi nimeonana nae naona amerejea kawaida. Kama ni issue za kurogwa dah! Ila inawezekana
   
 3. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  kwahiyo baada ya kumtoa SHULE amepona! au tiba ilikuwa nini
   
 4. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Pole sana, kuna baadhi ya watoto huwa wakichukia shule fulani wana hako kajitabia, mchunguze , jaribu kusema neno la kufurahisha kama kusafiri hivi kwenda mbugani au ulaya na jidai kusema kama utamchukuwa wakati amezimia, kama akiamka ataulizia jambo hilo basi ujue anajifanyisha other wise huwa inatokea ! kuna binti mmoja alikuwa na tabia hiyo namjua kabisa, ila wazazi walikuja kugundua baadae kuwa alikuwa haipendi shule na hivo wakamhamisha ila sasa huko alipoenda napo akaanza kugombana na wenzake akaanza tena kamchezo kake cha kuanguka shule wakamstukia naona ameacha sasa! mchunguze !
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anahtaji maombi
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh huu ugonjwa unawapata sana wanafunzi wanaosoma shule za bweni na za wasichana watupu.
  Sasa sijui chanzo kinakuwa nini na dawa yake ninini?
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,537
  Trophy Points: 280
  Maombi tuu..umejaribu mkuu kumpeleka aombewe?..
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hysteria au double personality, halafu mabinti huwa wanaupata kwa kujiendekeza zaidi, wanaambukizana. Hii niliipata kwa daktari wa saikolojia fulani hivi.
  Washauri wa saikolojia wanaweza msaidia zaidi.

  Uswahilini huwa tunaamini binti anahitaji kampani ya jinsia ya kiume, hatuna prufu
  Ila ukiumwa chekelea wanakukabidhi kijana anamshughulikia basi mtu anapona.
   
 9. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  asante
   
 10. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mpeleke kwenye maombi
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Ni kweli maombi yanahitajika... uchawi upo lkn dawa yake sio uchawi tena bali ni Mungu
   
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,751
  Likes Received: 8,009
  Trophy Points: 280
  Maelezo yako yanaonesha kama unajua unajua hivi, ila unazungusha mada....mwaga radhi NATA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. J

  John W. Mlacha Verified User

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  wachawi wase** kweli.yaani wanamloga binti mdogo ambaye hata hata pesa anamtegemea mzazi .wtf with these african??
   
 14. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,751
  Likes Received: 8,009
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye bold ndio pana jibu mkuu, huku kwingine ulikuwa unanipotezea muda tu
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,217
  Trophy Points: 280
  huu uhuni sasa
   
 16. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Inawezekana ikawa Hysteria kama anavyosema Kongosho. Jaribu kumuona Daktari pale kitengo cha magonjwa ya akili Muhimbili. Sexual Hysteria kama kuna wengine wameshauri hapo juu, haitibiwi kwa kumuachia mtoto huru 'akararuriwe' ndio apone...theres no such a treatment for sexual hysteria, na mtakapofanya hivyo basi anaweza hata akawa anajifanyisha ili tu apate ruhusa ya 'kuraruriwa'. Counseling by a professional counselor/psychiatrist ndicho anachohitaji.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nimempa taarifa zote nazozijua kuhusu ugonjwa ili mzazi aamue ipi afuate.

   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha, ila wanapona

  Afu wote wanaipenda hii dawa, atakuwa anaumwa kila wiki:lol:

   
 19. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  thanks brother
   
 20. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,751
  Likes Received: 8,009
  Trophy Points: 280
  Hivi tukiacha masihara na utani, mzazi unaweza kweli kumkabidhi binti yako kwa Bujibuji eti anatibiwa na wewe ukae nje unasubiria?

  Mola aepushie mbali, matibabu haya yasimkute binti yangu ikanilazimu nijue kuwa saa hii anatibiwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...