bingwa real madrid

Gagso

Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
58
Reaction score
3
hatimeya mashabiki wote wa barcleno wameruo.c o kila cku mshangilie nyie.pumbavu zenu.
 
Timu bora ya dunia imefungwa na chelsea na madrid wakiwa wote kumi na moja kwa kumi na moja. wameitoa AC milan kwa kubebwa bila aibu.Kila wakiwafunga wenzao utakuta wamebebwa. leo hakukuwa na red card wala nini! Mimi nawaapia Ukikuta mtu anashangilia Barcelona na Manchester utd lazima maishani mwake ni dhulumati mkubwa! Morinho hongera sana kwa kutwaa ubingwa mapemaa!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…