Bingu wa Mutharika wrote Tanzania over Lake Malawi boundaries

Ni kweli barua aliandikiwa Mheshimiwa Mkapa lakini hakujibu kitu.


It is unfortunate that Ziwa Nyasa si la Mkapa, Kikwete ni MALI YA TANZANIA HALF OF IT, Period....!!!

Hawataki tunachukuwa Ziwa Nyasa lote..... manina zao...!!!
 
Mi nawalaani mafisadi tu wa nchi hii wakati wenzao wanaangaika namna gani watazisaidia nchi zao wao wanachunguza namna gani wataziibia nchi zao!?!
Mfano mzuri ni huu mgogoro wa malawi huu ni mgogoro mkubwa sana tofauti tunavyoudhania sisi kwanza una mkono wa wazungu pili una mikono ya waafrika wenzetu majirani,wakati sisi tutakuwa tunapigana na malawi ukae ukijua huu mgogoro wa sasa karibuni asili yake ni rwanda na uganda,hivyo tukianzisha tu vita na malawi basi hapo hapo uganda na rwanda zitafanya vyovyote inavyowezekana kuisaidia malawi au hata kutupiga sisi,na lengo lao hasa ni kuiba baadhi ya ardhi yetu mana wao hawana ardhi na waifanye nchi yetu isiwe na serikali imara kama kongo ama ikiwezekana wamweke mtusi mwenzao hapa bongo waingie na kuishi wanavyotaka wao.

Du watu wengine wana waza mambo ya ajabu sana vichwani mwao! yaani Rwanda na Uganda ndiyo wamesababisha mgogoro wa mpaka ili waingie Tanzania waweke Mtusi mwenza! hii kali kweli sijawahi fikilia kitu kama hicho na kama ni uongo basi ni kiwango cha juu sana uongo au udhanifu usio na mantiki.
 
Mkuu umeongea, dawa yao inakuja, hawa jamaa kwa kiasi kikubwa wanaitegemea Tanzania kuingiza bidhaa zao nchini kwao kupitia mipaka ya nchi yetu, sasa nawashangaa wanakalia tawi kavu, waache waendelee kutuchokoza.... Tutawapiga.

Yap mambo ya Abunuasi kukalia tawi unalolikata, we waache tu wanyee kambi
 
It is unfortunate that Ziwa Nyasa si la Mkapa, Kikwete ni MALI YA TANZANIA HALF OF IT, Period....!!!

Hawataki tunachukuwa Ziwa Nyasa lote..... manina zao...!!!

Mr. President usibishane na Maundumula, huyo ndiyo wale wale zikomo kwa mbiri.
 
Mr President Hovyo kabisa ufai hata kulitumia jina ilo UFAHI TOA HOJA NA SIO KUTUKANA Jiulize tuna uhuru miaka 51 sasa wanalimiliki vp ukalichukue kwa Nguvu acha mawazo ya giza DIPLOMASIA NDO NJIA BORA, M23 WAMEJIONDOA GOMA BILA KINSHASA KUTUMA JESHI HAPO UMEJIFUNZA NINI? TUTUMIE JF AS BRAINSTORM KUJIWAKILISHA HUMU KWA MAWAZO YANAYOJENGA KAMA THINK TANK NA SIO BICHWA MAJI
 
Back
Top Bottom