Wakuu nimepita Bamaga zilipo ofisi za Startimes kuna umati mkubwa nje ofisi zao bado hazijafunguliwa!
Ule umati unadhihirisha Startimes pengine ikakamata asilimia kubwa ya soko pamoja na huduma zao mbovu
Cha kushangaza ule umati haujui sehemu zingine za kupata ving'amuzi?
ingekuwa vyema pia ukawashauri watu hapa kuwa hawa star times wana huduma mbovu kwa vigezo, a..b...c..d..
halafu pia ushauri kuwa kama hao wana huduma mbovu wapi ambapo watu watapata huduma bora napo pia ukionyesha vigezo vinavyofaa(toa option). mambo ya digitali bado ni mageni kwa wengi..
na pia, waonyeshe hao wanaotaka kununua star times wapi pengine wanapoweza kupata huduma hiyo, ili wengi ambao hawajanunua pia waweze kufanya hivyo bila usumbufu. otherwise asante kwa taarifa
Mkuu "Sound Africa" ndio nchi gani hiyo? Au ndio hii mikoa mipya inayoanzishwa Kama Katavi!?Nina king'amuzi hicho toka enzi za kombe la Dunia lilifanyika 'Sound Africa' 2010.
Sijawahi kupata tatizo la kukatika, picha la ukweli, kitu digitali!
Labda hivyo vingamuzi vyenu ni vile vya Manzese!
.Startimes wapo cheap kiukweli ndio maana umati umejaa pale leo lakini hawana Channel nzuri hilo ndio tatizo kuu.
Startimes wana matawi maeneo mengi ya jiji lakini sijaelewa kwanini watu wameenda kujazana ofisi yao ya Bamaga! Pengine vimeisha mtaani imebidi watu waende makao makuu!
Mkuu "Sound Africa" ndio nchi gani hiyo? Au ndio hii mikoa mipya inayoanzishwa Kama Katavi!?
madish ndo mpango mzma
Nina king'amuzi hicho toka enzi za kombe la Dunia lilifanyika 'Sound Africa' 2010.
Sijawahi kupata tatizo la kukatika, picha la ukweli, kitu digitali!
Labda hivyo vingamuzi vyenu ni vile vya Manzese!