mkuu wengi wanalia sababu mostly wanatumia *Pesa MasterCard.
*pesa MasterCard haiwezi kuwithdraw, kwa maana ya kuwa sites nyingi za option trading ukifanya desposit kupitia a certain method, ndiyo hiyohiyo utakayoitumia kuwithdraw, na hata online wallet mfano Skrill, ukideposit pesa kutumia *pesa Mastercard huwezi kuitoa hiyo pesa.
sijawahi ulizia kwa wahusika ni kwa nn ila normally ninachokifahamu ni kuwa, hizi MasterCard tunazopewa na hawa providers kama Vcom, na A/tel wetu ni kwaajili ya kufanya malipo/manunuzi Online, so kwa akili ya haraka haraka kama ulitengeneza card for paying how can you expect that card to be used for withdrawing mwaisa, it doesn't come come, so usiblame tu bila kuwa na sababu unazozielewa.
snipa2020