binti mkupasi
Member
- Jan 9, 2016
- 25
- 16
Habari..
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa mambo ya forex trading, lakini kwa upande wangu nikaona ni ngumu kumeza.
Nikaamua kugeukia upande wa pili wa pili wa Binary Options trading, hii kidogo kwangu imekuwa nafuu.
Hivyo basi, naomba kama kuna mtu yuko vizuri kwenye hii trade aweke some tips here, Maana kwangu bado sijaweza vyema lakini niko interested Sana.
Pia kama waweza kunifundisha, basi naomba tuwasiliane PM.
Ahsante.