B businezz_oligarch Senior Member Joined Dec 16, 2012 Posts 145 Reaction score 35 May 22, 2013 #1 kwa wanaojua jinsi ya kuchange binary into ASCII plz help me katika hii..
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 May 22, 2013 #2 Wapi babaaa Joe Nyandigira??? Kuya huku tafwazali..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
B businezz_oligarch Senior Member Joined Dec 16, 2012 Posts 145 Reaction score 35 May 22, 2013 Thread starter #3 charminglady said: Wapi babaaa Joe Nyandigira??? Kuya huku tafwazali..... Click to expand... Oooh huyo ndo mtaaram wa binary??aje tu aisee. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
charminglady said: Wapi babaaa Joe Nyandigira??? Kuya huku tafwazali..... Click to expand... Oooh huyo ndo mtaaram wa binary??aje tu aisee.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,275 Reaction score 108,279 May 22, 2013 #4 businezz_oligarch said: Oooh huyo ndo mtaaram wa binary??aje tu aisee. Click to expand... Mkuu shida yako ni ipi haswa, unataka conversion ya hizo binary digits kwenda characters au otherwise? Kama ni hivyo naona unataka kutuchosha mkuu, kwa kutaka sisi tuanze ku-compile hiyo mashine language. Kwa kukusaidia tu na kupunguza kupoteza muda, angalia hii ASCII <-> Binary Conversion Table
businezz_oligarch said: Oooh huyo ndo mtaaram wa binary??aje tu aisee. Click to expand... Mkuu shida yako ni ipi haswa, unataka conversion ya hizo binary digits kwenda characters au otherwise? Kama ni hivyo naona unataka kutuchosha mkuu, kwa kutaka sisi tuanze ku-compile hiyo mashine language. Kwa kukusaidia tu na kupunguza kupoteza muda, angalia hii ASCII <-> Binary Conversion Table
J joshuajr1 Member Joined Jan 5, 2013 Posts 44 Reaction score 7 May 25, 2013 #5 check on ASCII table decimal to binary and hexadecimal
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 May 26, 2013 #6 Jamaa amenikumbusha mbali sana, enzi tukiwa mwaka wa kwanza kwenye course ya FUNDAMENTAL OF COMPUTERS
Jamaa amenikumbusha mbali sana, enzi tukiwa mwaka wa kwanza kwenye course ya FUNDAMENTAL OF COMPUTERS