PAND PIERI
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 183
- 275
Leo nilienda kumtembelea dadangu /binamu wa kike, nilimpigia simu Jana kuwa leo nitamtembelea na kweli niliamka kwa kufanya majukumu yangu na kujiandaa na safari nikatumia saa moja na nusu . Ni muda mrefu hatujaonana na alitaka niende kumsalimie nilifika muda wa saa sita hivi.
Binamu yangu ana mtoto wa kiume age Kama 5-6 hivi, nilivyofika nikakaribishwa vizuri kabisa, dogo akawa anakuja mjombaaa, mjombaa, mm nikachukulia poa tu kwa kuwa watoto wa mjini, dogo akaanza usumbufu usumbufu nikavumilia lakini yalikuwa yanakera mnoo, Mara anilalie , Mara atoke nje mbio anishike shike, nikavumilia Kama mtu mzima .
Kimbembe kikajaa mama yake kanikaribisha juice ,naanza kunywa tu dogo kafika ,akawa anataka nikachukua kikombe nikamgawia akawa analia ni kidogo,nikampa ya kwangu anaendelea kulia ,nikampa zote mbili ili asiendelee kunisumbua ,Mara sijakaa sawa kanimwagia juice makusudi ..asee na nilivaa shati nyeupe. duh...nikajaa,mama yake anasema michael!Michael! umefanya mjomba nn ?,wakati huo mm nimejaa na hasira..asee nikampa dogo Kofi ya ukweli,naona mama yake nae ananiletea ujinga eti anachukuwa kitu ananipiga sababu nimepiga mwanae...
Weeeee, nikamgeukia yeye nimempa makofi matatu ya ukweli,sikujali yeye dadangu coz na yeye amenitibua nikaondoka kwa hasira ......nimepigiwa simu na shangazi kesho niende kwake kwa ajili ya hilo swala..hapa nawaza nisiende naona ni Mambo ya kijinga,mumewe kanipigia simu anataka tukaongee..hapo pia nafikiria niende au nisiende.