Habari wakuu nibinti wamiaka23 na mchumba wangu tunaetegemea kuoana mwez wa7, lakini hii tabia yakuwa karibu na binamu yake inanipa mashaka.
Mara nakuta sms kaka naomba vocha , kaka naomba pesa yasaluni mara kaka sijui vitu gani full mapicha na nibinti mkubwa wamiaka 27
Sasa hii yajana ndio kaliminilienda kwa huyomchumba angu bila kumpa taarifa ilikua mida yasaa3. Usiku sikumkuta kwakua nilikua nafunguoo nikafungua nikaa sebleni .
Na
Nimgoje arudi gafra binamu ameingia anauliza kaka yupo wapi . sasa nimejalibu kumuuliza nahuyu ndugu yako kuna nini mbona ukaribu umkua ivi adi kufatana home usiku anasema hakuna lolote niundugu tu binafsi naisi tofauti.
Naombeni ushauri kuhusu hili ni muache au nifanyejee maana huyu binamu simueli nae , kibaya akinikuta mimi nyumbani kwakaka yake hakai kabisa.
Naombeni ushauri.