SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Ameandika vizuri sana. Sasa ili athibitishe kuwa ni mtu wa msimamo ahamie tu kwingine ambako wana mtazamo unaoendana na wake. Btw, ki Afrika mtu yeyote aliyekulea au mwenye uhusiano na wewe ana haki ya kujiita mama yako. Ni punguani tu ndie atakayeamini kuwa yule mama ni mama mzazi wa Mbowe. Kama ni mama Ntilie ambae hua anampelekea chakula ndio kabisa. Hata kama hampelekei, anaweza kumhesabu kuwa ni mwanae. Ni kama vile watu wanavyomuita Rais wa sasa mama ingawa hawana uhusiano wowote nae.Binamu Bananga ni Diwani wa zamani wa Sombetini Arusha kupitia CHADEMA.
1. Viongozi wa Kanda ya Pwani wameshindwa kushawishi Wanachama kujitokeza kwa wingi Mahakamani, ushawishi wa mitandaoni umeshindwa kufanya kazi, Wito aliotoa RPC umekuwa na nguvu, kwa maandalizi tuiliyofanya sijutegemea idadi ndogo ya watu kiasi kile pale Mahakamani, Kesi ya Mdude tuliweza kujaza Mahakama lakini hii ya mwenyekiti tumetia aibu.
2. Kwa upande wa mahojiano, aliyeandaa anastahili pongezi, tumefanikiwa, ingawaje tulilipa watu 20 wa kuhojiwa na 40 wa kubeba mabango lakini waliofika wakikuwa wachache, hakuna aliyefahamu kama walilipwa lakini kesho kuwe na value for money, wote watakaolipwa usiku huu, wafike, na tuboreshe mapungufu machache kwenye setup, tuhakikishe vyombo vyote vya habari vinakuwepo.
3. Mama tuliyempanga ajitambulishe kama Mama mlezi wa Mbowe, na kusema ametoka Hai, ni mama n'tilie pale Mkwajuni. Tunajua kabisa pale Mkwajuni ndio zilipo ofisi za CCM kinondoni lakini bado tukamtumia mtu wa maeneo yale, Aliyepanga hilo kama ni kiongozi awajibishwe. Amekiabisha chama.
4. Najua tulilenga kufikisha ujumbe, lakini kwanini tuliruhusu Mabango yaandikwe na mtu mmoja na uumbaji wa herufi kufanana? Tunapoteza credibility kwa Wananchi, na kwanini tupange watu sehemu moja, kwanini hatukufikiria kwamba haiwezekani watu 10 wenye mabango kujipanga mstari mmoja kama hawakupewa maelekezo. Naumiabkuonwa tunavyosemwa mitandaoni kwa kusgindwa kupanga vizuri.
5. Tunategemea matukio na propaganda kuliko kujenga Chama kwenye misingi, Tukiendelea na Siasa za aina hii Chama kitakufa, Tulikuwa na Wabunge wengi Dar 2015 - 20 lakini leo tumekosa hata Wananchi 200 wa kutuunga mkono pale Kisutu, hii wake up call kwetu, sidhani kama ACT wangekosa watu.
6. Mtaani imejengeka Taswira kwamba Viongozi walipanga kutoa kafara wanachama, walihamasisha kwenda wanachama waende Mahakani, halafu wao wakabaki majumbani kunywa juice bariid, mambo yote wamefuatilia Twita. Waliofika Mahakamani hawakuzidi watatu. Kesho viongozi tuwepo.
7. Chama kiwe na msimano thabiti, tulisema mwanachama wetu akikamatwa hatutasumbuka kumdhamini, lakini bado tumeshawishi wanachama kwenda mahakamani (ingaswaje wamegoma) na Kibatala amesikika pale akiahidi kuwatoa kwa dhamana Wanachama wale jamaa waliokamatwa baada ya kukaidi maagizo ya polisi. Tumesahau msimamo wetu?
8. Tukiendelea kuamini tutawashinda CCM kwa kushinda Twita, tutakufa tukiwa wapinzani, tujenge Chama Uraiani, confidence ya Wananchi mitandaoni isitudanganye, kwa ground mambo ni tofauti, Au kuna aliyewaona wale wanaotweet na kuretweet sana?
9. Bila Mbowe chama chetu hakina tofauti na kikundi cha watoto wa 'Sunday School', matamko yanaandikwa pale Triple 7 - Bar, yanatoka muda wowote hata usiku wa manane, mepesi, hayana uzito, sio yale matamko ya CHADEMA tuliyozoea, ndio maana wananchi wameyapuuza kwa kutokuja Mahakamani.
10. Kuna haja ya kuanzisha madarasa ya Itikadi, kwenye hili tumuige polepole, tumekuwa Chama cha Matukio na kuchambua hotuba za CCM, Mipango yetu haifiki Mwisho, leo tunakuja na Sera Mbadala, kesho inakufa, tunakuja na CHADEMA ni msingi, mara Katiba Mpya, ni kama tunaongozwa na matukio, hatuna Itikadi inayotuongoza.View attachment 1882740View attachment 1882741
Binamu Bananga ni Diwani wa zamani wa Sombetini Arusha kupitia CHADEMA.

Ndipo mnapokosea. Haki ya watu kukusanyika na kujadiliana ni ya kikatiba na si fadhila ya Rais.CDM mda mwingi hutumia kufanya ukorofi bila kujenga chama Matokeo watu wanawaona wahuni, hata hyo movements ya katiba wananchi hawaielewi wao Wana force tu kingi hyo isiyouzika kwa raia. Mama Samia aliruhusu wakutane CDM wakaanza kutukana hovyo badala wangefanya utafiti kwanza kitu kinachogusa wananchi wao wakaanza kuhemka na katiba,huyo mbowe atakaa jela hadi akitoka chama kimekufa kabisa.
Kama hajasema basi inabidi nimuombe radhi.Huu mbona uongo? Bananga hajaandika huu upupu mmejitungia UVCCM huko propaganda za kitoto. Lete uthibitisho kuwa haya maandishi ya Bananga? Account yake ya IG hakuna post kama hiyo. Mimi siungani na siasa na misimamo ya Bananga but I’m not the one to fall for these cheap politics.
CDM mda mwingi hutumia kufanya ukorofi bila kujenga chama Matokeo watu wanawaona wahuni, hata hyo movements ya katiba wananchi hawaielewi wao Wana force tu kingi hyo isiyouzika kwa raia. Mama Samia aliruhusu wakutane CDM wakaanza kutukana hovyo badala wangefanya utafiti kwanza kitu kinachogusa wananchi wao wakaanza kuhemka na katiba,huyo mbowe atakaa jela hadi akitoka chama kimekufa kabisa.
Uzi wa uongo huu
Weka proof hapa,yote hii ni propaganda za Lumumba!
Katoa maelezo ya uongo kisha ume-attach screenshot ya kitu kingine...
Bananga hajaongea huu uzwazwa!
Mods futeni huu uongo,maana hakuna proof yeyote!

Exactly MODs wako wapi kufuta posts kama hizi za kutunga tunga. Bananga hajaandika wala kuongea hayo mapupu ya Lumumba.
Bananga ajitafakari manake he is a weak link. Why Lumumba wamtumie yeye kusambaza propaganda na watu waamini bila hata kuchukua muda kujiridhisha?