Binamu alivyonitaka kimapenzi

Binamu alivyonitaka kimapenzi

Ukimwi upo.
Mimba zisizopangiliwa zipo.

Ni juu yako either raha ya muda mfupi au majuto ya milele
 
Siamini kama kweli ulishawishika. Ila hongera sana maana mmeambiwa kimbieni
 
Epuka zinaa hasa na ndugu kwa maana hiyo ni dhambi itakayo chukua sehem kubwa ya maisha yako hapa duniani
 
Mkuu kama kakutunuku hiyo amali usikatae,ungemtongoza wewe ungeonekana na tamaa.

"Tunu nitunuku, kuomba tamaa"
 
Pole Sana na hongera kwa ujasiri uliochukua wa kumkimbia huyo ndugu yako hongera sana
Haina haja ya kumwambia mtu yeyoye
Kaa nayo tu moyoni alafu endelea na Maisha yako.
Tafuta pesa kijana ur still young

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom