Binafsi napenda CCM kifutwe?

Binafsi napenda CCM kifutwe?

zolo

Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
76
Reaction score
23
Baada Ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa, Jaji Francis Mutungi Jana Kuvifuta Vyama Vitatu Vya Siasa, Jahazi Asilia, CHAUSTA Na APPT Maendeleo, Ni Chama Gani Kingine Unatamani Kifutwe Hata Leo?
 
Baada Ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa, Jaji Francis Mutungi Jana Kuvifuta Vyama Vitatu Vya Siasa, Jahazi Asilia, CHAUSTA Na APPT Maendeleo, Ni Chama Gani Kingine Unatamani Kifutwe Hata Leo?
Headline yako mbona ina ukakasi unauliza au unatoa maoni
 
Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Tumeipenda wenyewe...

Chaguo letu milele...

Na wavimbe wapasuke...

Watajijua wenyewe...

Tumeipenda wenyewe...

Chaguo letu milele...

Na wavimbe wapasuke...

Watajijua wenyewe...

Wacha waisome namba eeeee... "watasoma nambaaa"

CCM mbele kwa mbeleee.. "ooh mbele kwa mbele"

Waacheni waandamaneee... "wajinga wale"

CCM mbele kwa mbele
 
Baada Ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa, Jaji Francis Mutungi Jana Kuvifuta Vyama Vitatu Vya Siasa, Jahazi Asilia, CHAUSTA Na APPT Maendeleo, Ni Chama Gani Kingine Unatamani Kifutwe Hata Leo?
Mkuu Zolo, kwanza naheshimu mawazo yako na kila mtu yuko huru kutoa mawazo yake.

Kuna msemo wa kizungu "if wishes were horses, beggars would ride" nikimaanisha
kuna wengi wenye mawazo kama yako haswa wale waiokata tamaa na maigizo ya uchaguzi ambao kila siku CCM inashinda, hivyo kwao, namna pekee ya kubadili chama tawala ni kwa ku wish CCM kifutwe. Watasubiri sana.

Niliwahi kuzungumzia tishio la kufutwa kwa
Chadema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Na tishio la kufutwa kwa CUF
Chama Cha Wananchi CUF Kufutiliwa mbali

Lakini pia nikaelezwa na Msajili aliyepita kuwa Chama Tawala kamwe hakiwezi kufutwa, hivyo kwa vile CCM itatawala milele, then CCM bado ipo sana na itaendelea kuwepo.

Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Paskali
 
Hivi viroba jamani mnavyo kunywa viacheni. mimi nafikiri kingefutwa kile chama chako kinachokumbatia mafisadi na kuwasafisha kwa madodoki, halafu unasema ccm ifutwe??
 
Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Hatunywi Sumu, hatujinyongi...

CCM mbele kwa mbeleeee...

Tumeipenda wenyewe...

Chaguo letu milele...

Na wavimbe wapasuke...

Watajijua wenyewe...

Tumeipenda wenyewe...

Chaguo letu milele...

Na wavimbe wapasuke...

Watajijua wenyewe...

Wacha waisome namba eeeee... "watasoma nambaaa"

CCM mbele kwa mbeleee.. "ooh mbele kwa mbele"

Waacheni waandamaneee... "wajinga wale"

CCM mbele kwa mbele
 
Hivi viroba jamani mnavyo kunywa viacheni. mimi nafikiri kingefutwa kile chama chako kinachokumbatia mafisadi na kuwasafisha kwa madodoki, halafu unasema ccm ifutwe??
Ulipata kumgao wako wa milion 10 kutoka kwa wabunge wararushwa, wapiga dili na mafisadi wa ccm?

Km bado muone LIZABONI akupe rushwa yako
 
Back
Top Bottom