Ulichonacho wewe ambacho mwingine hana,na kile alicho nacho mwingine ambacho wewe huna,inafanya watu kusaidiana na kunufaika wote,jambo ambalo ni gumu kwako,linaweza kua ni rahisi kwa mwingine na kinyume chake,uwezo wa Binadamu hutofautiana,
Huwezi kumdharau mtu coz kwa jinsi alivyo,kwani huwezi jua ni wakati gani utamhitaji msaada wake,
Hakuna mtu anaye weza kuishi peke yake au kujitosheleza kwa kila kitu Duniani,
Unapokua meneja somewhere,hutakiwi kumdharau mfanya usafi au kujiona wewe ni bora zaidi ya wengine.