1:chali na nguo/bila nguo
2:kifudi fudi na nguo/bila nguo
3:ubavu ubavu na nguo/bila nguo
mimi nipo ktk namba 1 lakin bila nguo na haijalishi ni msimu wa joto au baridi-mwendo ni chali chali tuu bila nguo.pajama,boxer,kufuli.kaptula natupa kule.
haya wewe upo ktk namba gani-tufafanulie:focus: