Binadamu mwembamba kuliko wote duniani

GONZZ EPACLEM

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2016
Posts
312
Reaction score
240
Jioneee hapa mwenyewe

ONYO
Kama hutahili msituko usiangalie tafadhaliiiii, chonde chonde
 

Attachments

Daah noooma saana yaani mwembamba hadi haonekani, ila kapendeza.....
ha ha ha!
Kweli kabisa, jamaa ni mwembamba kiasi kwamba hata kamera zimeshindwa kumuonyeshai.

ha ha ha,

Narudi.
 
Acha hizo wewe mb 10 si mchezo hatupo sawa asee endelea kuburudika WI-FI usitujazie nzi
 
Wala sio computer, ni ujanja mdogo wa kawaida kabisa. Jamaa amechuchumaa chini ya kitanda ametoboa godoro na kupitisha kichwa.

Sina mb nilitegemea nielewe hapa ila kila nikichambua haya maelezo sijaelewa sijui kachumaa mara kapenya kila nikihusishanisha na wembamba sipati jibu.
 
Sina mb nilitegemea nielewe hapa ila kila nikichambua haya maelezo sijaelewa sijui kachumaa mara kapenya kila nikihusishanisha na wembamba sipati jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23]download tu
 
Wala sio computer, ni ujanja mdogo wa kawaida kabisa. Jamaa amechuchumaa chini ya kitanda ametoboa godoro na kupitisha kichwa.
Kwaiyo iyo mikono na miguu ni visanamu sio vinacheza cheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…