Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Kinaitwaje hicho kitabu mkuu?nitafutie hata link tafadhali....Hapana TUNAWAPENDA
Kitabu kinaitwa "Goal diggers guide, how to get what you want from men without giving it up "- kimeandika na Baje Fletcher utakipata kwenye web ya docroid

NB:ungekuwa na upendo usingeulizia kitabu cha jinsi ya kutapeli pesa za wanaume Joannah
 
Asante...Hapana ,upendo ninao ila vitabu vinaongeza knowledge mdogo wangu
 
Uzuri jogoo huwa hatomby tetea mmoja[emoji16]
 
Na mkishazalishwa msidai matunzo Basi mpambane mleee watoto wenu Kama matetea[emoji16]
๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„Huo mtihani mpya...tafadhali tuige mema ya jogoo mabaya tumuachie mwenyewe
 
Ulijaribu kufatilia majukumu anayotekeleza tetea mpaka anahudumiwa ivo
 
๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„Huo mtihani mpya...tafadhali tuige mema ya jogoo mabaya tumuachie mwenyewe
Joannah yule ndio huyu au huyu ndio yule..? Mnatuchanganya..!
 
Ulijaribu kufatilia majukumu anayotekeleza tetea mpaka anahudumiwa ivo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tumesema tuige yaliyo mema hayo ya kutelekeza watoto tumuachie jogoo
 
Sawa tetea Joannah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ