Binadam bhana!

Digital Marketer

Senior Member
Joined
May 1, 2019
Posts
112
Reaction score
149
Kuna mambo ya kufurahisha kama sio kusikitisha...eti mtu anatoka uko aliko ajui ili wala lile, ajui wapi mmeanza na wapi mmemaliza anaingia tu kwenye mambo yasiomuhusu......inafurahisha na kusikitisha...

Jamani tuwe tunajifunza...tukiingia kwenye familia za watu tuwe wastaraabu mambo yakutaka kuonekana una hekima sana kwenye mambo ambayo ayawahusi itakuja iwacost.

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
hahaaa anataka mgawane urith pasu pasuu?
 
Acha woga, mtu unaye huko badala umwambie we unakuja kulalamika huku sisi tukusaidieje jombaa?
 
Mpigie simu kwa namba mpya kama unaogopa kuongea nae ana kwa ana
 
Niko kwenye mchakato wa kubadili mtindo wa maisha yangu kwa Sasa,hao watu siwaonei aibu kabisa siku hizi.leo asubuhi tu nimetoka kumchana mmoja wao naishi nae jirani hapa,yani jitu zima linahamisha habari kwa watu hata hujamtuma.
 
Kwa hiyo ulitaka akuache umuue mke wako?, mshukuru sana huyo sasa hivi ungekuwa kisongo
 
Ameanzaje kuwa mshauri wenu bila ruhusa yenu?
Ulipaswa kumueleza hapohapo kwamba wewe kaa kimya kwasababu hujui chanzo Cha tofauti zetu.
 
TENA KUWA MAKINI, ATAMGONGA MKEO...ANAJIFANYA KUMTETEA ILI KULETA UKARIBU NAYE ZAIDI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…