Bina ameniweka njia panda

Bina ameniweka njia panda

washuka

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Niko njia panda mm nikijana ambae ninae ndugu wa kike (binam) baada ya kauli za mitego za mda mrefu ame amua kufunguka na kuweka wazi kuwa asinge penda kuona nina oa mke zaidi yake na kua yeye ame nipenda sana.

Na mm baada ya kufariki baba yangu shangaz na mjomba ambao ndio wazazi wake walikua kama baba na mama yangu, yeye amedhamilia kulifikisha mbele yao suala hili na mm sipati picha watu ambao waliokua kama baba na mama leo waje kuwa wakwe.!

nifanye nini ?
 
Hapo ina depend na mila na desturi za kwenu.
Kuna ambao kanuni zinawa'allow , na wapo waliyowekewa ban kikanuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom