Mkuu
Huyu bwana kwa sasa hayupo tena duniani kinachoendelea sasa ni propaganda tu hakuna lingine
kwa sie ambao tumepitia maeneo ya vita ndio tunajua ni kwanini wamarekani hawakuonyesha sura yake. kama umeshabahatika kuona Mtu ambaye amepigwa risasi ya kichwa au usoni usingetamani kuona uso wa OSAMA, jamaa alipigwa risasi ya uso n awangeonyesha picha yake kwanza wangekuwa hawajautendea haki huo mwili na pia wangeweza amsha hasira za wafuasi wake,, osama na kundi lake sasa ishakuwa historia labda ajitokeza mtu mwingine anzishe kundi lingine na hii itachukua muda saana
cha msingi tupiganie dunia yenye haki, amani na maelewano, tukumbuke dini sio kigezo cha kumfikisha mtu kwa Mungu bali ni matendo yetu ndio yatatufikisha kwa Muumba